KALAMU YA GHASSANI

Saa ya ukombozi ni hii

HISTORIA inaonesha kuwa harakati za kijamii kujikomboa kutoka minyororo ya idhilali na dhulma zina mtandao na wigo mpana. Watawala wetu huwa hawapendi kulisikia neno ‘kujikomboa’ likitajwa katika siasa za sasa hivi kwa madai kuwa wakati Endelea

KALAMU YA GHASSANI

Kweli SAFINA itatweka?

WAKATI Dira ilipoanza kuuzungumzia ujio wa SAFINA, kuna waliodhani kuwa huo ulikuwa uzushi. ‘Mafundi’ wenyewe wa SAFINA walipojitokeza kutangaza kuwa wamo kazini kuiunda, wakaonekana wanatania tu. Na sasa, ikiwa safari yake imeshaanza, swali linaloulizwa ni Endelea

KALAMU YA GHASSANI

Masta Saimoni kasema mufe njaa!

NAKUMBUKA tulipokuwa wadogo, chini ya mwangaza wa mbaamwezi, tulikuwa tukicheza mchezo huu Masta Saimoni Kasema. Nitaelezea kidogo jinsi mchezo huu unavyochezwa. Huwa ni kundi la watoto linalopokea amri kutoka kwa kiongozi wao. Ukiona namna kiongozi Endelea