Kwa Jina la Zanzibar

 

Kwa jinalo wewe, tungo nayandika, na kuikariri
Hitaka ujuwe, ndiwe mtukuka, ndiwe wangu huri
Sina mwenginewe, wala hatazuka, wa kumkubali
Wat’ani ni wewe, kila kitu wewe, Mama Zinjibari! 

Mohammed K. Ghassani kutoka Diwani ya N’na Kwetu

About Zanzibar Daima 1699 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.