HABARI

Kero ndio uhai wa Muungano

Mwishoni mwa wiki iliyopita, Wazanzibari waliambiwa tena kupitia kikao cha Baraza la Wawakilishi kwamba kwenye mazungumzo baina ya ofisi ya Waziri Kiongozi wa Zanzibar na ofisi ya Waziri Mkuu wa Tanzania hakuna kikubwa kinachofanyika. Aliyelisema Endelea