MCHAMBUZI MAALUM

Bado Rais wa Zanzibar ndiye Makamo wa Rais

Na Mohammed Ghassani   Lilifanyika kosa kubwa kuutangaza Muungano wa Tanganyika na Zanzibar bila ya kwanza kuweka Katiba ya kuusimamia Muungano huo. Kwa maneno ya Arham Ali Nabwa, viongozi wa Muungano huu walitanguliza gari kabla ya farasi; na hilo limekuwa jambo linalotugharimu sasa kisiasa.   Wala jambo hili lisingekuwa na gharama kubwa kama hii ikiwa… Continue reading Bado Rais wa Zanzibar ndiye Makamo wa Rais

HABARI

Muungano na ajenda ya siri dhidi ya Zanzibar

MIMI si mmoja ya wale wanaoamini kwamba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar pale mwaka 1964 ulitokana na dhamira njema walizokuwanazo wale tunaowaona kuwa waasisi wake, Sheikh Abeid Karume wa Zanzibar na Mwalimu Julius Nyerere wa Tanganyika. Sikubali kwamba msukumo wa kuungana kwa nchi hizi ulikuwa ni hisia za umoja na udugu wa Afrika (pan-africanism). Na,… Continue reading Muungano na ajenda ya siri dhidi ya Zanzibar

HABARI

Kificho usifiche kisichofichika

Nilitaka sana Spika Kificho asahau utiifu wake kwa mabwana wa Chimwaga na akumbuke sana utiifu wake kwa Zanzibar. Athamini kwamba hadi leo, sisi Wazanzibari tuliompa Uspika, tungali tukiendelea kujinasibu, kujilabu na kujilindia Uzanzibari wetu. Sikutaka atumie nguvu zake kuzima mchemko wa fikra za kizalendo kutoka kwa umma na wawakilishi wao kama wanavyofanya mabwana wa Chimwaga.… Continue reading Kificho usifiche kisichofichika

HABARI

Tanganyika iliila keki yake na bado inayo

Baada ya Wazanzibari kujitokeza kupingana na kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda iliyoitangaza Zanzibar si nchi, mtazamo wa jumla kutoka upande mwengine wa Muungano huu, yaani Tanganyika, umekuwa wa kihasama zaidi. Umekuwa ni wa kuwakumbusha Wazanzibari ule msemo wa kale wa Kiengereza: you can not eat your cake and have it. Ukipitia magazeti mbali mbali… Continue reading Tanganyika iliila keki yake na bado inayo