Wamekupiga Kwa Nini?

Mwanangu unanijia, hali unatiririka, damu muili mzima
Tumboni ninaumia, machango yanikatika, moyo wapwita wauma
Lipi limekutokea, shenzi walolaanika, washakupiga kwa vyuma?
Kwa nini wamekupiga?

Mohammed K. Ghassani kutoka Diwani Kalamu ya Mapinduzi

About Zanzibar Daima 1699 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.