News Ticker

Janga Linaloikabili Skuli ya Fidel Castro – Castrostrophy


Castrotsrophy 3

Castrotsrophy 1: Humu, ndani ya banda hili hawalali mifugo. Munalala watoto wetu wa Kizanzibari

Naiita hali hii Castrotrophy. Nakusuduia janga linaloikabili Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro, Vitongoji – Pemba. Rafiki yangu, Khatib Mohammed, alikuwa huko hivi karibuni na tazama hizi picha alizonitumia za namna skuli hiyo ilivyo sasa. Tazama pia ukweli kuwa watoto wetu wanasoma hapo pamoja na ubovu wa majengo yake. Chukua tahadhari moyoni mwako kwamba kuna roho za watoto wetu zipo hatarini zikipigana jihadi. Ni jihadi maana wanatafuta ilimu. Mazingira waliyonayo yanasikitisha na kuogofya!!

Castrostrophy  5

Castrostrophy 2: Na malazi yenyewe ndiyo kama haya

Castrotrophy 1: Ona lile banda mkono wako wa kushoto. Ile ni dakhalia ya wanaume. Ndani yake, watoto wetu wanalala

Castrotrophy 3: Ona lile banda mkono wako wa kushoto. Ile ni dakhalia ya wanaume. Ndani yake, watoto wetu wanalala

Castrostrophy 2:

Castrostrophy 4: Banda lenyewe ni hili kwa kuliangalia kwa karibu. Watoto wetu wamo ndani

About Zanzibar Daima (1509 Articles)
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

1 Comment on Janga Linaloikabili Skuli ya Fidel Castro – Castrostrophy

  1. Nitoe shukurani zangu za dhati kwako wewe kaka yangu Ghassani kwa angaa kulifikisha hapa hili janga. Jamani haya ni machache tu ya yanayo endelea pale shuleni, ningewaomba wale wote wanaoguswa na hii hali, wawezao kusaidia kwa namna yeyote ile basi wafanye jitihadi na kulipa uzito suala hili. Mungu atakaye mpa khatwa basi apite ajionee kwa macho yake….na pengine atupatie picha nzuri zaidi. Hii kumbe ni miongoni mwa sababu za kupata matokeo mabaya sana kwa miaka miwili mfululizo katika skuli hii.
    Kwa staili hii, elimu kisiwani Pemba imeshadidimia kabisaaa.

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s