KALAMU YA GHASSANI

*Siasa za Muungano na hatima ya uchumi wa Zanzibar

Kwa miaka yote hii 45 ya Muungano, habari imekuwa ndiyo hiyo. Kwa jina la Tanzania, Tanganyika imeendelea kujizolea kila kilicho cha Zanzibar kukipeleka kwenye Muungano kwa kisingizio cha kuuimarisha; na Zanzibar inazidi kufa kwa kuwa inaingiza kila chake kwenye tumbo la Mfalme Jeta lisiloshiba! Na baya zaidi ni kuwa Tanganyika inaambiwa haipo, basi Zanzibar imekosa… Continue reading *Siasa za Muungano na hatima ya uchumi wa Zanzibar