Uhuru wa Ulaya: Kwa nini nisiliye?

Published on :

Saa 1:45 usiku. Kituo kikuu cha treni Hamburg. Treni ya kwenda Bonn inafika. Ilikuwa ifike saa 1:46; lakini imewahi kwa dakika moja. Hifadhi hiyo: imewahi, haikuchelewa. Wajerumani wenyewe wanajisifu kwamba ni pünktlich – wanaofuata wakati. Dakika moja ni nyingi na dakika tano hazivumilikii. Sharti moja la kuishi hapa ni kupoteza […]

Vidokezo na vionjo katika uandishi wa Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru

Published on :

Na Mohammed Said Utangulizi Kwa kipindi kirefu historia ya Mapinduzi ya Zanzibar ilikuwa ni ile historia rasmi ambayo imeathiri historia nyingi Afrika. Viongozi wa Afrika wanapenda ile historia itakayowakweza na kuwaonyesha wao katika mwanga wa kupendeza. Vinginevyo historia hiyo haitakiwi. Wazalendo wenyewe hawakuwa na hamu ya kuandika historia hii na […]

Sababu tano za Zanzibar Daima

Published on :

Weblog hii imeanzishwa kwa lengo la kujenga jukwaa la mawasiliano kati ya Zanzibar na ulimwengu kupitia mtazamo wa Kizanzibari. Dhamira ni kuiwasilisha na kuiwakilisha Zanzibar. Imani kuu ya weblog hii ni Uzanzibari, ambalo ni jambo la fakhari kwa kila Mzanzibari awe anaishi ndani ya mipaka ya Zanzibar au nje yake. […]

Zanzibar yaibua kero mpya ya Muungano

Published on :

Na Mwinyi Sadallah 3 Septemba 2010 Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imezuia hati idhini (charter) za vyuo vikuu vya Zanzibar kusainiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Kikwete, kutokana na mgongano wa kisheria. Uamuzi huo umesababisha Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (Suza) kutopatiwa hati idhini na Kamisheni ya Vyuo […]

Seif:I’m the best for Zanzibar

Published on :

By Frank Kimboy Civic United Front (CUF) Zanzibar presidential candidate Maalim Seif Sharif Hamad has reiterated his stand that he is the right man to lead the new national unity government. Mr Hamad stance comes just few days after he arrived from his official tour to South Africa where he […]