No Picture
HABARI

Zanzibar Yetu Sote

Mimi nawapa hongera, tena hongereni sana Mumefanya ya busara, matendo ya kiungwana Tukisimama imara, mambo yetu yatafana Zanzibar ni yetu sote Zanzibar ni yetu sote, lazima kuitetea Tukiiacha itote, wenyewe tutaumia Tukisimama kidete, nani atatuchezea? Endelea

No Picture
HABARI

Dhalimu

Mungu nakushitakia, mja wako madhulumu Sina pa kuelekea, ila kwako ya karimu Nguvu zishaniishia, taabani mahmumu Yarabi nisaidia, londoke hili dhalimu Yarabi nisaidia, londoke hili dhalimu Lipotee baidia, linisahau dawamu Likitaka nirudia, ulipofuwe uyunu Likome Endelea

No Picture
HABARI

Muungano Siutaki

Ndugu zangu na jirani, sikizeni nawambia Washamba na wa mjini, wa mbali niagizia Simuogopi fulani, kula mtu asikia Muungano siutaki, miye sina haja nao Hata uwe maarufu, na watu wauwanie Usiwe na khitilafu, Mola auondolee Endelea

No Picture
HABARI

Fakhari ya Uswahili

Si wa hili u wa lipi, uso tambua utuo Wajitambulisha vipi, kuilinda heshimayo Moyo wangu haunipi, kuvaa si yangu nguo Huu ndio uswahili, kwawo najifakharisha Najifakharisha kwayo, fakhari ya Uswahili Tatanga kila kituo, hapa ndipo Endelea

No Picture
HABARI

‘Sichame Ago

Hamad Hamad Machi 10, 2011 Copenhagen Sichami ago hanyela, nacha kuja wiya papo Senda mbali hazurura, hasahau niwiyako Taenzi ago kabula, sijafikwa ni mafiko Tatukanaje wavyele, na uzazi ungalipo? Sitacha m’bacha wangu, kwa mswala wa Endelea