No Picture
HABARI

Mwachekesha!

Mwapenda mafanikio, kazi kwenu ni laana Mwaweka matumanio, ndoto zenu za mchana Utajiri kujiotea: “Kesho ‘tawa milionea” Mwajidanganya! Mwatakangia Peponi, ela kifo mwakikana! Mwachekesha!!

No Picture
HABARI

Ni Mpweke!

Ni mpweke maishani, sina wa kuniokoa Ni mpweke ni tabuni, hakuna anayenijua Ni mpweke nikizani, hapana wa kunondoa Ni mpweke nidhikini, ndugu wananihadaa Ni mpweke mashakani, hekuna wa kunitoa Ni mpweke ni ndiani, siji kwa Endelea