News Ticker

Zanzibar Daima katika mwaka 2011


Ukumbi wa muziki katika Jumba la Michezo la Sydney linachukuwa watu 2,700 kwa wakati mmoja. Zanzibar Daima ilitembelewa mara 33, 000 mwaka 2011. Ingelikuwa ni onyesho la muziki mjini Sydney, ingelikuwa imevuuka mara 12 ya mauzo yake ya tiketi za kawaida. Ahsanteni sana watembeleaji wa Zanzibar Daima. Mwana 2012 uwe ni mwaka wa kheri zaidi kwa Zanzibar. Mwaka wa Ukombozi Kamili.

Kujuwa zaidi kuhusu mwaka 2011 ulivyokuwa kwa Zanzibar Daima, tafadhali bonyeza hapa.

About Zanzibar Daima (1509 Articles)
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s