Zaima Media Network

Zaima Media Network

We Reach You. TUNAKUFIKIA

  • ZAIMA SHERIA
  • TIBA
  • BUR’DAAN
  • HABARI
  • KOLAMU
  • ZAIMA KAULI
  • ZAIMA SHERIA
  • ZAIMA SPECIALS
  • AJENDA YA ZANZIBAR
News Ticker
  • [ February 20, 2019 ] Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano UCHAMBUZI
  • [ February 18, 2019 ] Wazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo UCHAMBUZI
  • [ February 5, 2019 ] Happy Birthday CCM! UCHAMBUZI
  • [ January 31, 2019 ] Vyombo vya Usalama vyalaumiwa uvunjaji haki za binaadamu HABARI
  • [ January 25, 2019 ] Sheikh Karume angeshauvunja Muungano AJENDA YA ZANZIBAR
Home2012April

Month: April 2012

No Picture
HABARI

Taarifa kwa Vyombo vya Habari: Deutsche Welle yaelimisha kupitia burudani

April 27, 2012 Zanzibar Daima 0

Utengenezaji wa michezo ya kuigiza ya redio nchini Tanzania Kwa mara ya pili kituo cha utangazaji cha kimataifa cha Ujerumani, Deutsche Welle (DW), kinatayarisha vipindi vya kuburudisha na kuelimisha kwa michezo ya kuigiza kwa ajili Endelea

No Picture
HABARI

Kuelekea uhuru wa Zanzibar kwa kuukataa Muungano: Hoja ya kidini na kihistoria

April 21, 2012 Zanzibar Daima 0

Ufafanuzi wa kihistoria ya kidini ya kisiasa unaojenga hoja ya Wazanzibari kuukataa Muungano, miaka karibuni 50 baada ya kuundwa kwake. Angalia vidio za sehemu ya mihadhara inayotayarishwa na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Endelea

No Picture
UCHAMBUZI

Kauli ya Mzanzibari kuelekea uhuru wa Zanzibar: Hoja za kisheria na kijamii

April 21, 2012 Zanzibar Daima 0

Maoni ya wananchi katika Kongamano la Katiba lililotayarishwa na Baraza la Katiba la Zanzibar katika mfululizo wa kutoa elimu kwa Wazanzibari kuwatayarisha kwa Katiba Mpya ijayo katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Angalia sehemu ya Endelea

No Picture
HABARI

Laiti Kilio Hiki

April 19, 2012 Zanzibar Daima 0

Laiti kilio hiki, kinge cha hudhuni na masikitiko Kuwa hunitaki, mwako himayani kuwa mwenza wako Nami nge’ na dhiki, za umaskini sina penginepo

No Picture
HABARI

Sudan yaapa kuirudisha Heglig mikononi mwake

April 14, 2012 Zanzibar Daima 0

Jeshi la Sudan limesema linasonga mbele kuukomboa mji wa Heglig ambao umetekwa na majeshi ya Sudan ya Kusini kwa siku ya tatu sasa, huku Sudan ya Kusini imesema itaondoka tu kwenye eneo hilo lenye utajiri Endelea

No Picture
KOLAMU

Zanzibar yaelekea kwenye uhuru wake

April 14, 2012 Zanzibar Daima 2

Rais Jakaya Kikwete ameiapisha Tume ya Katiba, kama inavyojuilikana, ambayo jukumu lake ni kukusanya maoni ya Watanzania juu ya katiba wanayoitaka. Katika uapishaji huo uliofanyika Ikulu ya Magogoni, Ijumaa ya 13 Aprili 2012, Rais Kikwete Endelea

No Picture
HABARI

Rais Mutharika wa Malawi afariki dunia

April 6, 2012 Zanzibar Daima 0

Rais wa Malawi, Bingu wa Mutharika, amefariki dunia mjini Lilongwe, baada ya kuugua kwa muda mfupi. Mwanzoni redio ya taifa ilikuwa imetangaza kwamba Mutharika, mwenye miaka 78, angelipelekwa Afrika Kusini kwa matibbabu zaidi, lakini inaonekana Endelea

No Picture
HABARI

Watuareg wajitangazia uhuru wa Azawad

April 6, 2012 Zanzibar Daima 0

“Tunatangaza rasmi uhuru wa Azawad kuanzia leo,” alisema Mussa Ag Attaher, ambaye aliongeza kwamba waasi hao wataheshimu “mipaka ya mataifa mengine.” MNLA imesema kwamba kutokana na mafanikio yao ya kuliteka eneo wanaloliita Azawad, wanasimamisha mara Endelea

Posts navigation

1 2 »
  • UCHAMBUZI

    Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano

    February 20, 2019 0
    MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo Hyde Park Hotel.  Hoteli hiyo iko mkabala wa uwanja wa Hyde Park na Endelea
  • UCHAMBUZI

    Wazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo

    February 18, 2019 0
    Upo msemo wa Kiswahili usemao “Ukitaka kumuua paka anza kwa kumpa jina baya”, ambao huelezea namna watu wanavyoharamisha au kuhalalisha jambo kwa kuanza na kukivunjia hadhi yake. Wagonjwa wa maradhi ya moyo hasa watoto hapa Endelea
  • UCHAMBUZI

    Happy Birthday CCM!

    February 5, 2019 0
    Imenichukuwa dakika tano tu hivi hadi kuwaza niandike nini kama sehemu ya zawadi kwa chama changu na marafiki zangu wa chama cha Mapinduzi CCM! Nimeona ni kheri kuandika kwa sababu si wote wenye uwezo wa Endelea
  • HABARI

    Vyombo vya Usalama vyalaumiwa uvunjaji haki za binaadamu

    January 31, 2019 0

    Mkoa wa Dar es Salaam ndio unaoongoza kwa uvunjifu wa haki za waandishi. Mikoa mingine inayoonekana kinara wa ukiukwaji huo ni Kigoma, Mtwara, Tanga, Singida, Shinyanga na Njombe. Endelea

My Tweets
  • Congo yathibitisha mripuko mpya wa Ebola

    May 9, 2018 0
    Serekali ya Congo imetangaza mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola baada ya kuthibitishwa watu wawili kukutwa na virusi ya ugonjwa huo na takribani 17 kufariki Kaskazini-Magharibi mwa taifa hilo. “Nchi yetu imekumbwa na mripuko wa Endelea
  • Mbowe na wenzake wafutiwa dhamana, wasubiri kupandishwa kizimbani

    March 27, 2018 0
    Viongozi sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe wamefutiwa dhamana na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Pamoja na Mbowe, viongozi Endelea
Tufuate kwa barua pepe

Weka anwani yako ya barua-pepe.

Join 11,204 other subscribers

Tuwasiliane
Khelef Nassor Rashid
P.O.BOX 4194
Zanzibar
+255772274011/+255718920331
office@zanzibardaima.net
Jumatatu - Ijumaa
10:00 Hrs - 17:00 Hrs

Zaima Media Network