Changamoto za sasa zinazoikabili SUKZ

Published on :

(Imechukuliwa kutoka mtandao wa kijamii wa Facebook) Mtazamo wangu ni tafauti na wengi walionitangulia, ila turudi katika malalamiko dhidi ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUKZ). Kwa jinsi hali ilivyo na mageuzi yaliyotegemewa baada ya kuundwa kwa SUKZ, tatizo kubwa lipo kutokana na kasi ndogo ya mabadiliko katika zile huduma […]

Vijana wa Zanzibar watoa onyo kali

Published on :

Angalia vidio hii, halafu soma tamko lifuatalo ambalo lilisambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook na Vijana wa Umoja wa Kitaifa wa Zanzibar kuwaonya viongozi na watu wanaozuia uhuru wa maoni kuelekea Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Halafu unganisha na matukio ya uvunjifu wa amani, vitendo vya […]

Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu!

Published on :

Waraka huu ni kuhusu nyenzo na vigezo vya kuipata Jamhuri ya Watu wa Zanzibar iliyo na mamlaka kamili ndani na nje na baadae kufuatiwa na Mashirikiano/Muungano wa Mkataba. Shabaha ni kubainisha njia na vipimo vya kufikia hapo. Kwa kujua na kutumia nyenzo sahihi inatarajiwa kupatikana sio tu Jamhuri ya Watu […]