HABARI

WATU 27 WANUSURIKA KUFA KUMI HAWAONEKANI HADI SASA AJALI YA JAHAZI MKOKOTONI

Imewekwa na Hamed Mazrouy Watu ishirini na saba wanusurika kufa kufuatia ajali ya kuzama kwa Jahazi lilokuwa likitokea Tanga kuja Unguja usiku wa jana kuamkia leo. Jahazi hilo lilikuwa na jumla ya watu thalathini na saba pamoja na mizigo mbali mbali ndani yake ikiwemo  magunia ya bidhaa mbali mbali lilipinduka usiku wa jana majira ya… Continue reading WATU 27 WANUSURIKA KUFA KUMI HAWAONEKANI HADI SASA AJALI YA JAHAZI MKOKOTONI

HABARI

MZINDAKAYA ASEMA MUUNGANO UKIVUNJIKA NI HATARI

MBUNGE mstaafu wa Kwela,Sumbawanga mkoani Ruvuma, Chrisant Mzindakaya ameitaka katiba ilinde Muungano, kwa madai kuwa ukivunjika madhara yake kwa usalama wa nchi ni makubwa kuliko bomu.   Akizungumza jana jijini Dar es Salaam baada ya kuwasilisha maoni yake kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzindakaya alisema kuwa hasara ya kuvunjika kwa Muungano ni kubwa kwani… Continue reading MZINDAKAYA ASEMA MUUNGANO UKIVUNJIKA NI HATARI

HABARI

MAFISADI ZANZIBAR WAWAJIBISHWE

Imewekwa na Hamed Mazrouy   RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein ametakiwa kuchukua hatua madhubuti za kuwawajibisha watendaji wa Serikali wenye kufanya ubadhirifu wa fedha na kuisababisha Serikali hasara. Mwenyekiti wa Kamati ya Kuchunguza na Kudhibiti Hesabu za Serikali na Mashirika, Baraza la Wawakilishi, Omar Ali Shehe alitoa ushauri huo wakati akifanya majumuisho ya… Continue reading MAFISADI ZANZIBAR WAWAJIBISHWE

HABARI

RAZA AKABIDHI MSAADA KWA JESHI LA POLISI

Imewekwa na Hamed Mazrouy Watendaji wa jeshi la polisi nchini wameshauriwa kuendeelea kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi ili waweze kuungwa mkono na wananchi katika kulinda amani na utulivu wa nchi.   Ushauri huo,umetolewa na Mwakilishi wa jimbo la Uuzini Mh, Mohamed Raza wakati akikabidhi vifaa vya ujenzi na michezo vyenye thamani ya shilingi milioni… Continue reading RAZA AKABIDHI MSAADA KWA JESHI LA POLISI

HABARI

JUSSA AMSHAURI DR:SHEIN KUBADILISHA BARAZA LA MAWAZIRI

Imewekwa na Hamed Mazrouy Mwakilishi wa jimbo la Mji Mkongwe Mh: Ismail Jussa amemshauri Rais wa Zanzibar Dr, Ali Mohamed Shein  kuvunja Baraza zima la Mawaziri wake waliomo ndani ya Serikali hii ya Zanzibar kwani  wamekuwa wakishindwa katika suala zima la utekelezaji wa majukumu yao ya kazi kama wahusika wakuu wa Wizara zao.   Hayo… Continue reading JUSSA AMSHAURI DR:SHEIN KUBADILISHA BARAZA LA MAWAZIRI