No Picture
HABARI

Mansoor afukuzwa CCM?

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimemeguka baada ya Kamati Maalumu kumvua uanachama Mwakilishi wa Kiembesamaki, Mansoor Yussuf Himid, akidaiwa kukiuka maadili ya chama hicho. Uamuzi huo umekuja baada ya Mansoor kudaiwa kupingana na Ilani ya Endelea

No Picture
HABARI

John Tendwa nje

Na Joyce Mmasi Rais Jakaya Kikwete amemteua Jaji Francis Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa kujaza nafasi iliyoachwa na John Tendwa ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana na Endelea