20130227_142657

20130227_142657

Bara waliwahi kuziita Chai-Maharage katika miaka ya mwishoni mwa 1980 na mwanzoni mwa 1990. Zanzibar bado zimebakia na jina la Daladala au Mbavu za Mbwa. Usafiri uliodumu kwa takribani miaka 100 kwenye visiwa hivi vya kihistoria. Hapa ni Chake Chake, gari ya abiria ikipakia polo la mkaa tayari kwa safari ya Tundauwa. Picha ya tarehe 27 Februari 2013.

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.