HABARI

Kwaheri Maalim Lee

Sijawahi kuandika tanzia kwa kiongozi mkubwa wa taifa, hasa taifa hilo likiwa ni la mbali sana, ambalo kikwetu ningeliweza kusema halinihusu ndewe wala sikio. Lakini nikiwa Mzanzibari, naiona nchi yangu ya Zanzibar ina jambo linalohusiana na Endelea