Si utangazaji tu, na kwenye mpira tumo

Jumamosi ya tarehe 13 Juni 2015, Idara ya Afrika ya Shirika la Utangazaji la Deutsche Welle iliandaa mashindano ya soka kwa idhaa zote za Afrika na Idhaa ya Kiswahili ilishiriki kikamilifu tangu mwanzo hadi mwisho. 

About Zanzibar Daima 1696 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply