“Batu bawili bana biti bitatu” – Viswahili vya Kiswahili

Unaposikia “Batu bawili bana biti bitatu” unafahamu nini? Watu wa kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekuwa wakitumia Kiswahili kwa karne kadhaa sasa, ila suali kubwa ni ikiwa wanatumia Kiswahili cha aina gani? Bonyeza hapa kumsikiliza Mhadhiri wa Kiswahili kwenye Chuo Kikuu cha Lubumbashi, George Mulumbwa akizungumza na Mohammed Khelefjuu ya kukua na kutumika kwa Kiswahili kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Chanzo: Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle

About Zanzibar Daima 1615 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.