HABARI

Watilkal Ayyaam….

Kiu ya Wazanzibari kubadili mfumo wa Muungano ilikatishwa bila kusinzwa na wakalazimishwa kunywa mate yao na Bunge Maalum la Katiba mwishoni mwa mwaka jana. Ahadi ya Rais Jakaya Kikwete kuwa angeliondoka na kuiwacha Jamhuri ya Endelea