HABARI

Hata Lowassa naye?

JUMAMOSI iliyopita, Edward Lowassa, aliwakuna Wazanzibari. Akiuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mnazi Moja, Unguja, Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Tanzania wa Chama cha Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na vyama vitatu vingine vya Endelea