Washindi wa Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya fasihi ya Kiafrika watangazwa

Published on :

“ Wakitumia lugha inayovutia na iliyo muwafaka, na mara nyingine lugha cheshi, washindi walizungumzia maswala yanayozikumba jamii za Afrika Mashariki, kama vile utumiaji wa mihadharati na athari zake duniani; swala la jinsia – wanawake na haki zao; na ufisadi wa kisiasa. Huu ni ukweli halisi wa Afrika katika lugha ya […]

Wanapofanana na kutofautiana CCM na USDP

Published on :

“Tutatafuta kujua ni kwa nini tumeshindwa. Hata hivyo, tunakubali matokeo bila masharti yoyote. Bado hatujajua matokeo kamili ya mwisho yatakuwaje”, kaimu mwenyekiti wa chama tawala kinachoungwa mkono na jeshi cha Myanmar (zamani Burma), Union Solidarity Development Party (USDP), aliliambia Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), siku moja tu baada ya […]

Ya zimamoto za Magufuli na uhalisia

Published on :

Ushabiki unaoendelea kufanywa na wengi wetu kwa makeke yaliyoonyeshwa siku za karibuni na Rais mpya wa Tanzania Pombe Magufuli ni wa kuangalia upande mmoja tu wa sarafu. Lakini kwa maoni yangu upande wa pili wa sarafu hiyo unathibitisha maneno ya JK alompa Magufuli jina la TINGATINGA yaani utumiaji nguvu tu […]