HABARI

Zanzibar will never be the same again come March 20

Reports from Pemba Island , a stronghold of the Zanzibar opposition, have said the islanders have been waiting for a whistle from their iconic leader,  the Civic United Front (CUF) general secretary and  presidential contender in the annulled October 25 election, Maalim Seif Shariff Hamad, to “take appropriate action” as an answer to the Zanzibar… Continue reading Zanzibar will never be the same again come March 20

HABARI

Yatima wa kimataifa ni mzigo wa Magufuli

YANAYOJIRI sasa Zanzibar yamenifanya niyakumbuke ya Algeria ya miaka ya 1990, ingawa hali za nchi hizo mbili, pamoja na siasa zao, ni tofauti. Juu ya tofauti hizo, kuna ya kujifunza kutoka Algeria au labda niseme kuna moja kubwa la Tanzania kujifunza kutoka nchi hiyo rafiki. Binafsi nililiona joto la kisiasa Algeria likizidi kupanda katika miaka… Continue reading Yatima wa kimataifa ni mzigo wa Magufuli

HABARI

Zahama ya kisiasa visiwani ni ya Magufuli

WIKI hii napenda kujadili suala linalohusu zahma ya kisiasa iliyozuka kwa mara nyingine tena Visiwani Zanzibar, baada ya kufanyika uchaguzi uliokosa tamati mwezi Oktoba mwaka jana. Uchaguzi huo ulinyimwa tamati na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Salim Jecha pale alipotangaza kwamba anaufuta kutokana na kuwapo kwa vitendo vya kukosa uaminifu katika baadhi ya… Continue reading Zahama ya kisiasa visiwani ni ya Magufuli

HABARI

Baina ya Sahrawi, Timor ya Mashariki na Zanzibar pana mstari mwembamba

Mwaka 2005 nilialikwa na Shirika la Utamaduni na Sayansi la Umoja wa Mataifa (UNESCO) kuwa sehemu ya timu ya vijana wanaokaribia 20 kutoka maeneo yanayofanana duniani kote, kushiriki semina juu ya “Vijana na Ujenzi wa Amani Ulimwenguni” iliyofanyika kwenye mji mkuu wa mkoa wa Comarca, katikati ya jimbo la Catalonia, Uhispania. Miongoni mwa vijana wenzangu… Continue reading Baina ya Sahrawi, Timor ya Mashariki na Zanzibar pana mstari mwembamba

MCHAMBUZI MAALUM

Rais Magufuli, unaifumbia macho dhuluma na hatutakuelewa

Katika makala hii, nakusudia kupitia machache katika maneno ya hekima na busara yaliyowahi kusemwa na wanafikara na wanaharakati wa ukombozi duniani kuhusu uhalisia wa saikolojia ya mkandamizaji na mkandamizwaji. Kupitia tafakuri hii nakusudia kuwatia moyo Wazanzibari kwamba wamefika wakati wametambua namna ya kujinasua kutoka makucha ya madhalimu baada ya kupiga kura kidemokrasia kuwakataa na kisha… Continue reading Rais Magufuli, unaifumbia macho dhuluma na hatutakuelewa