Kijana wa CCM

Siku Dk. Shein alipowaimbisha “Sisi Sote Tumegomboka!”

Published on :

Kama kuna jambo linatuunganisha Wazanzibari licha ya tafauti zetu za kisiasa, ni hiyo hiyo siasa yenyewe. Tunatakhitalifiana kwenye kuyatafsiri mambo fulani fulani kwenye siasa na zaidi kwenye historia ya siasa ya visiwa vyetu. Tunafautiana kwenye maana ya misemo ya kisiasa na matumizi yake, lakini sote tunaitumia misemo hiyo kwenye kuelezea […]

Haya madhambi yalijulikana, yakaendelezwa na mifumo mibovu

Published on :

TANGU Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli, aingie madarakani yapata miezi mitatu iliyopita, tumeshuhudia hekaheka nyingi zilizosababishwa na hatua alizochukua yeye mwenyewe pamoja na wasaidizi wake wakuu. Hatua alizozichukua kwa kiasi kikubwa zimekuwa hazitokani na sera mpya, ama utungaji wa sheria mpya, wala mabadiliko katika […]

Dk. Shein, bado unayo nafasi ya kuibadilisha hali

Published on :

Serikali ya awamu ya kwanza ya Zanzibar chini ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kwa hakika iliakisi kuitwa serikali. Sikuwepo zama hizo, lakini kwa hadithi za waliokuwepo na manung’uniko wanayolalamikia serikali zilizokuja baadaye zinaonesha ya Karume ilijitahidi kuwa serikali ya Zanzibar kwa ajili ya Zanzibar. Pamoja na baadhi kuizungumza vibaya […]

Haji Omari Kheri

Police, CCM source of divide in Zanzibar

Published on :

Controversy surrounding Zanzibar election turmoil is still lingering five decades after independence, but while the end is beyond the horizon lack of unity among the Isles’ people is an obvious culprit. The 2015 general elections can be regarded as unprecedented and perhaps highest disputed election in post-revolutionary Zanzibar, since it […]

Mifupa inapoinuka kaburini

Published on :

Familia ya msichana wa miaka 23, ambaye ndiyo kwanza alikuwa anamaliza masomo yake ya Chuo Kikuu nchini Afrika Kusini akiwa tayari mwanaharakati wa chama cha ukombozi cha ANC, Nokuthula Simelane, kamwe haijaweza kuuona mwili wa binti yao tangu akamatwe, kubakwa na kuuawa mwaka 1983. Huo ni mwaka ambao mimi nilikuwa […]

CUF yasema sasa imechoka na udhalilishaji

Published on :

Katika hali isiyo ya kawaida na baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu dhidi ya kile kinachokiita “njama za makusudi dhidi yake”, sasa Chama cha Wananchi (CUF) kinasema hakitaweza tena kuvumilia vitendo vya kihuni na kihalifu wanavyotendewa viongozi na wafuasi wake visiwani Zanzibar, kwani wameshasukumwa hadi kwenye ukuta. Akizungumza na […]

European Union delegation brands poll ‘observer,’ RIO, fake organisation

Published on :

The delegation of the European Union(EU) in Tanzania has said that a self-proclaimed organisation purporting to be an observer to the election  re-run in Zanzibar slated for next month is “simply  fake.” The head of the EU Delegation in Tanzania, Ambassador Roeland van de Geer, wrote in a communication that […]

Ndiyo Kikwete, ni wewe

Published on :

Kwamba amiri jeshi mkuu wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, anakanusha kuhusika na ‘uhuni’ wa tarehe 28 Oktoba 2015 visiwani Zanzibar, ambapo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (ZEC), Jecha Salim Jecha, alitangaza ‘kuufuta’ uchaguzi uliotajwa na waangalizi wote wa ndani na wa kimataifa […]