Maisha Yote

Maisha yote
Nakuwazeni
Muda wote
Nakuombeeni
Mimi si lolote
Nikiwakosa machoni
Nakupendeni nyote
Cheo ki sawa moyoni

Amour Hadji
6 Februari 2016
Zanzibar 

About Zanzibar Daima 1696 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply