News Ticker

Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru sasa kiganjani pako

Je, una hamu ya kukisoma kitabu cha Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru lakini huna namna ya kukipata hapo ulipo? Kuna njia rahisi ya  kukisoma kupitia simu yako ya mkononi, tablet au kompyuta moja kwa moja popote pale ulipo. Unachohitajika kuwa nacho ni kuunganishwa na mtandao wa intaneti tu. Kitabu kizima kinapatikana kwenye mtandao wake wa www.kwaheri.wordpress.com. Kusoma sura baada ya sura, tafadhali bonyeza viunganisho hapo chini:

Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru

Kutanabahisha

Utangulizi

Mlango wa Kwanza: Siri Nzito

Mlango wa Pili: Mirengo ya Kizalendo na Mapinduzi

Mlango wa Tatu: Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru!

Mlango wa Nne: Tupendane Waafrika

Mlango wa Tano: Sakura: Sadaka ya Tanganyika

Mlango wa Sita: Victor Mkello na Chama cha Wafanyakazi

Mlango wa Saba: Ali Muhsin na Nduguze

Mlango wa Nane: Musa bin Bek (Mozambique) na Zanzibar

Mlango wa Tisa: John Okello – Kuibuka na Kuzama

Mlango wa Kumi: Makomred na “Mungu wa Waafrika”

Mlango wa Kumi na Moja: Katibu wa Midani ya Mapinduzi

Mlango wa Kumi na Mbili: Waafrika, Waarabu na Ukombozi wa Afrika

Mlango w Kumi na Tatu: Misha Finsilber na Mapinduzi

Mlango wa Kumi na Nne: Kuanguka kwa Ngome ya Kusini

Mlango wa Kumi na Tano: Fikra za Kuunda Shirikisho

Mlango wa Kumi na Sita: Wagawe, Wasahaulishe, Watawale

Mlango wa Kumi na Saba: Hayeshi Majuto Yao

Mlango wa Kumi na Nane: Kosa la Mzee Nyerere

Mlango wa Kumi na Tisa: Kwaheri Ukoloni, Karibu Uhuru!

Mlango wa Ishirini: Mapinduzi Ndani na Nje

Mlango wa Ishirini na Moja: Nyumba ya Afrabia

Mapitio kwa Jumla

Viambatanisho

Marejeo

Faharisi

Shukurani

Mkusanyiko wa Picha

Mwandishi

About Zanzibar Daima (1509 Articles)
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s