Ni Mimi Nayo Maisha

Ama itaniinuwa, au itaniangusha
Na ama itaniuwa, au itanihuisha
Lolote litalokuwa, sitaiwacha maisha

Mohammed K. Ghassani kutoka Diwani ya Kalamu ya Mapinduzi

About Zanzibar Daima 1699 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.