News Ticker

CUF yasema sasa imechoka na udhalilishaji

Waziri wa Biashara na Viwanda wa Zanzibar, Nassor Mazrui.

Katika hali isiyo ya kawaida na baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu dhidi ya kile kinachokiita “njama za makusudi dhidi yake”, sasa Chama cha Wananchi (CUF) kinasema hakitaweza tena kuvumilia vitendo vya kihuni na kihalifu wanavyotendewa viongozi na wafuasi wake visiwani Zanzibar, kwani wameshasukumwa hadi kwenye ukuta.

Akizungumza na wakaazi wa Dunga Kiembeni, wilaya ya Kati Unguja, hivi leo (Februari 25), Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Mazrui, amesema hujuma ambazo zimepangwa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea kwenye kile kinachoitwa ‘uchaguzi mkuu wa marudio’, zinakusudia kuiingiza nchi kwenye machafuko. Akitaja mifano kadhaa ya vitendo hivyo vya hujuma, Mazrui alisema kitendo cha kuharibiwa kwa baraza ya CUF ya Dunga kilichofanywa usiku wa kuamkia leo kitakuwa cha mwisho kwao kukivumilia.

Kwa mengi zaidi, sikiliza hapo chini:

 

About Zanzibar Daima (1514 Articles)
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

3 Comments on CUF yasema sasa imechoka na udhalilishaji

 1. Mohamed mughery // February 25, 2016 at 3:22 pm // Reply

  Tumshukuru Subhana na wale wote walohusika kushiriki kuachiwa kwa ndugu yetu Eddy Riyami na Inshallah mwenyenzi mungu amlinde na kila ubaya

  Like

 2. Mipango ya Seif Idi ni kwamba awakamate viongozi wa CUF na kuwapotezea maisha kama ilivyofanya ASP chini ya Karume enzi zile Zanzibar ilipovamiwa na Nyerere 1964

  Like

 3. Mohamed mughery // February 26, 2016 at 10:18 pm // Reply

  Pengine wapo wale watakao sema kauli za Uchochezi Hali wakijua maneno ya naibu katibu wa chama ni kauli za Utetezi wa haki ya kila mmoja wetu kuheshimiwa na kulindwa ikiwa Tunahujumiwa ni Haki Kujitete.
  Hakuna njia ya Mkato hapo
  LINDA Na UHESHIMU Wazanzibari Wote

  Like

1 Trackback / Pingback

 1. Mazrui aachiwa kwa dhamana – Zanzibar Daima

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s