Zaima Media Network

Zaima Media Network

We Reach You. TUNAKUFIKIA

  • ZAIMA SHERIA
  • TIBA
  • BUR’DAAN
  • HABARI
  • KOLAMU
  • ZAIMA KAULI
  • ZAIMA SHERIA
  • ZAIMA SPECIALS
  • AJENDA YA ZANZIBAR
News Ticker
  • [ February 20, 2019 ] Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano UCHAMBUZI
  • [ February 18, 2019 ] Wazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo UCHAMBUZI
  • [ February 5, 2019 ] Happy Birthday CCM! UCHAMBUZI
  • [ January 31, 2019 ] Vyombo vya Usalama vyalaumiwa uvunjaji haki za binaadamu HABARI
  • [ January 25, 2019 ] Sheikh Karume angeshauvunja Muungano AJENDA YA ZANZIBAR
Home2016March

Month: March 2016

HABARI

Kambi ya Upinzani Bungeni yatangaza kutomtambua Dk. Shein

March 31, 2016 Zanzibar Daima 0

Kambi Rasmi ya Upinzani inasema kuwa Dk. Ali Muhammed Shein hana uhalali wa kushika nafasi hiyo kwa sababu matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo yana kila dalili kuwa yalikuwa ni ya kupanga kitakwimu. Kwa mfano katika Endelea

Zanzibar Stone Town
UCHAMBUZI

Zanzibar: Twataka wizara ya ubabe na tashtiti

March 31, 2016 Zanzibar Daima 0

NILIONA ni vyema kwenda Zanzibar kuadhimisha sikukuu adhimu ya Pasaka. Matumaini yangu yalikuwa pia kupata wasaa wa kutathmini hali ya hewa baada ya Uchaguzi wa Marejeo uliofanyika tarehe 20 Machi 2016. Huenda nilikuwa nimeshawishika na Endelea

UCHAMBUZI

Uzalendo unaoibuka kwa kufutiwa misaada ni unafiki

March 31, 2016 Zanzibar Daima 1

Laiti kama haya ya kufutwa kwa awamu ya pili ya msaada wa kimaendeleo wa shirika la misaada la Marekani (MCC) kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yangelitokea kwa Afrika Kusini wakati wa kufinywa kwa demokrasia na Endelea

HABARI

La CCM, MCC na Mzee Kazihaiko

March 31, 2016 Zanzibar Daima 0

Je, unamkumbuka ile hadithi ya Mzee Kazihaiko inayosimulia mwisho wa ujanja na ubabe wa sungura? Hadithi yenyewe inasema hivi: Hapo zamani za kale kulikuwa na shida ya maji kwenye kijiji kimoja (Zanzibar) na wanakijiji (Wazanzibari) Endelea

UCHAMBUZI

Wa Machi 20 ni uchaguzi uliofeli

March 30, 2016 Zanzibar Daima 0

Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi ni utaratibu wa kupata viongozi wa kikatiba wa nchi husika kama yalivyo mahitaji ya katiba ya nchi hiyo. Na kama ilivyo dhana maarufu ya “mahitaji na kukidhi”, katiba inakuwa na Endelea

Tundu Lissu
HABARI

Zanzibar chini ya mtutu wa bunduki

March 29, 2016 Zanzibar Daima 0

SERIKALI ya Umoja wa Kitaifa (SUK) katika Visiwa vya Zanzibar imefikia tamati, anaandika Yusuph Katimba. Uchambuzi wa kisheria unaonesha kuwa utawala wa sasa wa Zanzibar haufuati katiba, na kwamba hata kama ingefuatwa, haiwezekani tena kuwa Endelea

KOLAMU

La MCC na unafiki wa wajiitao wazalendo

March 29, 2016 Zanzibar Daima 1

Wahafidhina mambo leo wamejipa peke yao haki ya kuwa wazalendo wa nchi yetu. Ufuasi wao kwa chama tawala (CCM) na serikali zake wanaufananisha na uzalendo wa kweli kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na, kwa Endelea

UCHAMBUZI

Msiwasaidie waovu kuyavunja Maridhiano ya Wazanzibari

March 29, 2016 Zanzibar Daima 0

Tarehe 5 Novemba 2009 daima itakumbukwa kuwa ni siku ambayo nchi yetu iliandika historia mpya pale viongozi wawili wazalendo na mashujaa, Dk. Amani Abeid Karume na Maalim Seif Sharif Hamad, walipowaongoza Wazanzibari kufikia MARIDHIANO. Haikuwa Endelea

Posts navigation

1 2 … 4 »
  • UCHAMBUZI

    Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano

    February 20, 2019 0
    MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo Hyde Park Hotel.  Hoteli hiyo iko mkabala wa uwanja wa Hyde Park na Endelea
  • UCHAMBUZI

    Wazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo

    February 18, 2019 0
    Upo msemo wa Kiswahili usemao “Ukitaka kumuua paka anza kwa kumpa jina baya”, ambao huelezea namna watu wanavyoharamisha au kuhalalisha jambo kwa kuanza na kukivunjia hadhi yake. Wagonjwa wa maradhi ya moyo hasa watoto hapa Endelea
  • UCHAMBUZI

    Happy Birthday CCM!

    February 5, 2019 0
    Imenichukuwa dakika tano tu hivi hadi kuwaza niandike nini kama sehemu ya zawadi kwa chama changu na marafiki zangu wa chama cha Mapinduzi CCM! Nimeona ni kheri kuandika kwa sababu si wote wenye uwezo wa Endelea
  • HABARI

    Vyombo vya Usalama vyalaumiwa uvunjaji haki za binaadamu

    January 31, 2019 0

    Mkoa wa Dar es Salaam ndio unaoongoza kwa uvunjifu wa haki za waandishi. Mikoa mingine inayoonekana kinara wa ukiukwaji huo ni Kigoma, Mtwara, Tanga, Singida, Shinyanga na Njombe. Endelea

My Tweets
  • Congo yathibitisha mripuko mpya wa Ebola

    May 9, 2018 0
    Serekali ya Congo imetangaza mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola baada ya kuthibitishwa watu wawili kukutwa na virusi ya ugonjwa huo na takribani 17 kufariki Kaskazini-Magharibi mwa taifa hilo. “Nchi yetu imekumbwa na mripuko wa Endelea
  • Mbowe na wenzake wafutiwa dhamana, wasubiri kupandishwa kizimbani

    March 27, 2018 0
    Viongozi sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe wamefutiwa dhamana na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Pamoja na Mbowe, viongozi Endelea
Tufuate kwa barua pepe

Weka anwani yako ya barua-pepe.

Join 11,204 other subscribers

Tuwasiliane
Khelef Nassor Rashid
P.O.BOX 4194
Zanzibar
+255772274011/+255718920331
office@zanzibardaima.net
Jumatatu - Ijumaa
10:00 Hrs - 17:00 Hrs

Zaima Media Network