Mungu hambwi leo leo

Mungu hambwi nipa leo, ‘siponipa hu mpaji
Waombapo waombao, wao ndio wahitaji
Ndio wenye shida yao, na Kwake wakataraji
Naye Ndiye Mwamuaji, na Mwenye makadirio

Mohammed K. Ghassani kutoka Diwani ya Kalamu ya Mapinduzi

About Zanzibar Daima 1699 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.