No Picture
HABARI

Lipumba na la kuvunda

Hufika muda tunalazimika kukubali matokeo. Inawezekana kuikubali hali hiyo kwa shingo upande au maumivu makali yasiyomithilika. Hata hivyo, maumivu na sononeko hilo haliondowi uhalisia wa mambo. Kwamba la kuvunda halina ubani hata hikima na juhudi Endelea