News Ticker

Mwaka mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu Tanzania, nini kimekuwa nini?

Uchaguzi Zanzibar

Sasa unatimia mwaka tangu Watanzania kumiminika vituoni kuchagua viongozi wao kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015, na Maoni Mbele ya Meza ya Duara inauangazia mwaka huu mmoja na kile unachomaanisha kwa mpigakura wa kawaida: Je, kura yako imekuletea kile ulichokitazamia? Je, kipi kimebadilika kuwa vipi na kipi kingepaswa kuwa vipi? Vipi kuhusu suala la Zanzibar Рlimekwisha au bado lingalipo? Bonyeza hapa, kuungana na wachambuzi Jabir Idrissa, Rashid Chilumba na Malisa Godlisten wakiongozwa na Mohammed Khelef kwenye Maoni Mbele ya Meza ya Duara kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle. 

 

About Zanzibar Daima (1511 Articles)
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s