HABARI

Maisha na nyakati za Abdulla Kassim Hanga

ASALAAM alaykum wa RahmatuLlah wa Barakatuhu. Nina mawili matatu ninayotaka kusema kabla ya kuiingilia mada yetu.¬†Kwanza, nawashukuruni kujumuika nasi kumkumbuka mwana wa Zanzibar, ambaye licha ya udhaifu wake na pengine makosa ya hapa na pale, ni mmoja wa vigogo wa siasa za Zanzibar. Na ninamshukuru zaidi ndugu yetu Sheikh Muhammad Yusuf na taasisi yake kwa… Continue reading Maisha na nyakati za Abdulla Kassim Hanga

HABARI

Kamara Kusupa na mtambo wa kasumba juu ya Z’bar

Nimesoma katika Gazeti la An-nuur la tarehe 11- 17 Novemba, 2016, makala ya Mwinjilisti Kamara Kusupa isemayo "Kabla ya kudai 'Fungu Baraka', ulizeni nani aliitoa Zanzibar UN?" Makala hiyo imeshereheshwa na maneno "tusisahau kila zama na kitabu chake". Mwandishi wa makala hiyo ameeleza wazi kuwa nia yake ni kujibu makala niliyoandika kuhusu umiliki wa Zanzibar… Continue reading Kamara Kusupa na mtambo wa kasumba juu ya Z’bar