HABARI

Chidi Benzi anatushangaa tunavyomshangaa

NI zaidi ya kujikuta juu ya kitanda na msichana unayempenda kuliko wote duniani. Ni zaidi ya kutazama bao la ushindi la timu yako katika dakika za majeruhi katika mechi muhimu. Yote haya hayazidi starehe ya kubwia unga. Sahau kuhusu bia, sigara, Sahau kuhusu kila starehe. Inatajwa kuwa hakuna starehe kama unga. Na sasa Watanzania wanaendelea… Continue reading Chidi Benzi anatushangaa tunavyomshangaa

HABARI

Zanzibar yetu yaumwa, tuitibuni

Siku hizi ni kawaida kuwasikia watu - hasa wasomi na wataalamu waliobobea kwenye fani zao hapa Zanzibar  - wakisema "kwa tatizo hili bora pawepo mtaala maalum unaofundishwa maskulini ili kuliondosha'. Swali linakuja: je, tutabadilisha mitaala mingapi na kwa haja gani li kukidhi matatizo ya kijamii yanayoibuka kila leo, ambapo mengi yao ni kutokana na kukosa… Continue reading Zanzibar yetu yaumwa, tuitibuni

HABARI

Kipigo hakijawahi kuwabadili wapinzani kuwa wafuasi wa watawala

Tu, tu tu! Piga huyu, kamata yule! Kazi inaendelea.Kijiji kimejaa vilio vya watoto wachanga, kimetanda khofu na kimesambaa hewa ya sumu ambayo inapopulizwa kuchukuwa masiku kabla haijesha. Kwa siku kadhaa mahali hapa pamekuwa pa mateso mabaya kwa kina mama, wazee na watoto wadogo ambao maisha yao sasa ni ya kukimbia vibanda vyao na kuhamia maporini.… Continue reading Kipigo hakijawahi kuwabadili wapinzani kuwa wafuasi wa watawala

HABARI

La Magufuli na mifano yake ya Libya

Mwaka 2007, nilibahatika kwenda Libya kwa mafunzo ya muda mfupi, wakati kiongozi wa wakati huo, Marehemu Muammar Gaddafi, akiwa kwenye propaganda kubwa ya kuitangaza nchi hiyo kama taifa la mfano lisilofungamana na sera za Mashariki wala Magharibi. Mwenyewe Gaddafi alikuwa akiamini kile alichokiita "Demokrasia ya Moja kwa Moja", akipingana na nadharia ya "Demokrasia ya Uwakilishi",… Continue reading La Magufuli na mifano yake ya Libya

SIASA

Disemba 10 na uhuru wa Zanzibar uliopuuzwa

Mwandishi Harith Ghassani anakiita kitabu chake Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru, yumkini akimaanisha kile kilichotokea tarehe 10 Disemba 1963 kilikuwa kiini macho cha aina yake ambapo Zanzibar ilijipatia uhuru wake kutoka kwa Muingereza na baadaye kujikuta baada ya mwezi mmoja ikiingia katika Mpainduzi ambayo baadaye nayo, ndani ya siku 100 tu, yakafuatiwa na kuasisiwa kwa Muungano… Continue reading Disemba 10 na uhuru wa Zanzibar uliopuuzwa