HABARI

Nje ya umoja wa kitaifa na maridhiano, Zanzibar itaendelea kudhalilika

  Kwa kutumia ghiliba ya mtazamo hasi wa kihistoria, kundi la wanasiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) waliikaba pumzi dhana nzima ya umoja wa kitaifa na maridhiano ya Wazanzibari. Hawa walikuwa hawakuyaridhia maridhiano haya tangu kwenye siku zake za awali pale Novemba 2009 yalipoasisiwa na aliyekuwa kiongozi wa Zanzibar na wa chama chao kwa wakati… Continue reading Nje ya umoja wa kitaifa na maridhiano, Zanzibar itaendelea kudhalilika

HABARI

Uzimwe usizimwe, Zanzibar i gizani

Tangu Rais John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) atowe kauli yake ya kulitaka Shirika la Ugavi wa Umeme la Tanzania Bara (TANESCO) kuwakatia wadaiwa wake sugu, ikiwemo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), khofu iliyochanganyika na dhihaka za mitandaoni (meme) imeenea ndani na nje ya mipaka ya Jamhuri hiyo kupitia watumiaji wa… Continue reading Uzimwe usizimwe, Zanzibar i gizani

HABARI

Niijuwavyo Zanzibar

  Wazazi wangu, Mervyn na Auderey Smithman, walikwenda Tanganyika mwaka 1946 baada ya vita kutokea katika Serikali ya Kikoloni ya Muingereza. Baba yangu alikuwa na cheo cha luteni kanali katika jeshi la kikoloni la Uingereza katika Afrika ya Mashariki (Kings African Rifles). Alitokea Nyasaland (Malawi) na alikuwa na uwezo wa kuzungumza lugha ya Chinyanja, kwa… Continue reading Niijuwavyo Zanzibar

HABARI

Baina ya mkandarasi na kandarasi – 2

Nimetangulia kusema kwamba hayo niliyoyaeleza kabla hayakuwa yamenishughulisha sana kwa sababu, mtu aweza kuwa na hiari ya kutumia maneno kandarasi/makandarasi au mkandarasi/wakandarasi, akusudiapo kuwa ni mtu. (Mimi nitaendelea kutumia kandarasi/makandarasi - tena bila ya wasiwasi wowote!) Lakini yaliyonishughulisha, na hata kwa kiasi fulani kunishtua, ni hii kauli, na amri, ya Dkt. Chipila: "…Tunapokutana kwenye hadhara… Continue reading Baina ya mkandarasi na kandarasi – 2

HABARI

Kauli ya Dk. Shein haiondoi khofu ya raia kukosa umeme

Visiwa vya Zanzibar vimegubikwa na minong’ono na khofu kubwa baada ya Rais John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuiagiza Shirika la Ugavi wa Umeme ya Tanzania Bara (TANESCO) kuwakatia umeme wateja wote wenye madeni makubwa kwa shirika hilo, ikiwemo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ). Rais Magufuli aliitoa kauli hiyo tarehe 5 Machi… Continue reading Kauli ya Dk. Shein haiondoi khofu ya raia kukosa umeme