News Ticker

Kisiwa cha Pemba chakumbwa na mvua ya gharika


Si kawaida mafuriko kukiathiri kisiwa cha Pemba, hata panapokuwa na mvua kubwa kiasi gani, kutokana na maumbile yake ya milima na mabonde, lakini mvua kubwa ya masika inayoendelea sasa imezamisha madaraja kadhaa, kuporomosha milima, kuvunja majumba na kugharakisha mashamba.

This slideshow requires JavaScript.

Hadi sasa, hakujakuwa na taarifa za vifo au watu waliopotea lakini hali ni mbaya sana. Ripoti kutoka huko zinasema familia zaidi ya 200 katika mkoa wa Kusini zimepoteza makaazi, mashamba na mali zao. Msaada mkubwa wa kibinaadamu unahitajika haraka. Msikilize mzee huyu akiisimulia hali kama anavyoishuhudia kwa macho yake.

 

About Zanzibar Daima (1514 Articles)
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s