Kama hujaisikia hii, bado hujaijuwa maana hasa ya dhihaka kwenye sanaa

Vidio ya wimbo wa Bongofleva wa msanii Ney wa Mitego uitwao Wapo iliyoigizwa upya (remix) kwa njia ya dhihaka na msanii wa vichekesho nchini Tanzania, Mkali Wao, inaakisi maana halisi ya dhihaka kwenye sanaa. Dhihaka ni pale yanapotumika maneno au matendo ya kukuchekesha sana lakini katikati ya kushikilia mbavu, ukahisi hasira zinakuinuka kwa kuchomwa na ukweli mkali uliomo. Mwangalie hapa Mkali Wao:

About Zanzibar Daima 1610 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

1 Comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.