
Waziri mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA, Edward Lowassa, ameelezea masikitiko yake kwa vifo vya zaidi ya watu 30, wengi wao watoto wadogo wanafunzi wa skuli ya Mtakatifu Lucky, vilivyotokea baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupinduka hapo jana likiwa njiani kuelekea Karatu. Msikilize hapa:
Be the first to comment