News Ticker

Yasemavyo magazeti ya Tanzania 8 Mei 2017

Ajali iliyouwa watoto 35 bado yatanda, suala la vyeti feki lazidi kuvoromboka


Taarifa kubwa inaendelea kuwa ajali ya basi Iliyoangamiza maisha ya watu 35 juzi, wengi wao wakiwa wanafunzi wa skuli ya Mtakatifu Lucky Vicent, ambapo leo Makamu wa Rais Samia Suluhu anatazamiwa kuongoza mazishi yao. Vile vile, muna taarifa zaidi za kiuchunguzi kuhusiana na kashfa ya vyeti vya kughushi kwenye sekta ya umma.

This slideshow requires JavaScript.

About Zanzibar Daima (1509 Articles)
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s