Yasemavyo magazeti ya Tanzania 11 Mei 2017

Hatua ya mawaziri wa zamani wa Rais Magufuli, Nape na Kitwanga, kuikaanga serikali bungeni yapewa nafasi ya mbele kwenye magazeti

Michango ya waliokuwa mawaziri wa serikali ya Rais Pombe Magufuli na ambao waliachishwa nafasi zao na sasa kurudi kwenye mabenchi ya wabunge wa kawaida ndiyo iliyochukuwa nafasi za juu kwenye magazeti. Nape Nnauye na Charles Kitwanga walitumia muda mrefu jana bungeni kuisema na kuikemea serikali ambayo walikuwa sehemu yao hadi hivi karibuni.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.