Yasemavyo magazeti ya Tanzania 13 Mei 2017

Leo mada kadhaa zimechanganyika, kuanzia ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuifungia Benki ya Mbinga, CCM kukwepa kongamano la demokrasia lililoandaliwa na vyama vya siasa, hadi makandokando ya ajali iliyouwa wanafunzi 33 wiki iliyopita.

About Zanzibar Daima 1696 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply