Wabunge UKAWA waiandama serikali kwa kutojali maafa ya mafuriko

Wakati barabara, madaraja na nyumba zikiporomoka, serikali iko kimya

Huku mvua kubwa zikiendelea kunyesha na kusababisha maafa mbali mbali kote nchini Tanzania, wabunge wanaotokana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wameilaumu serikali kwa kuonesha kutojali na maafa hayo.

About Zanzibar Daima 1696 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply