Nyumba zaezuliwa na upepo mkali Unguja

Upepo mkali uliovuma mapema leo magharibi kwa kisiwa cha Unguja unahofiwa kusababisha madhara makubwa, baada ya nyumba kadhaa kuezuliwa mapaa. Mashahidi wanasema eneo la Nyarugusu, jimbo la Pangawe, ndilo lililoathiriwa zaidi na upepo huo. Hadi sasa hakuna taarifa za watu waliojeruhiwa au kupoteza maisha.

This slideshow requires JavaScript.

About Zanzibar Daima 1599 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply