Yasemavyo magazeti ya Tanzania 16 Mei 2017

Mada kuu leo ni uamuzi wa Rais John Magufuli kuifuta Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji Mkuu Dodoma (CDA), mkasa wa jana wa askari polisi kuwasha risasi za moto hewani akimtishia naibu waziri wa zamani wa fedha kwenye serikali ya awamu ya nne, Adam Kighoma Ali Malima, na pia kurasa za michezo zikijikita kwenye sakata la Simba, ambako hali ya hewa yatajwa kuanza kutulia.

 

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.