News Ticker

Mbunge wa Kwerekwe auvunja mfupa uliomshinda fisi

Chini ya miaka 2 yamefanyika yale ambayo hayakuwezekana kwa miaka 20.


Mbunge kijana wa jimbo la Mwanakwerekwe, Ali Salim Khamis (CUF), anafanya kile ambacho kilikuwa kimeshindikana kwa zaidi ya miaka 20 sasa kwenye jimbo hilo la mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja. Khamis, ambaye hii ni awamu yake ya kwanza bungeni na akiwa hajatimiza hata miaka miwili, tayari ameanzisha mageuzi makubwa kwenye huduma za kijamii na miundombinu. Angalia picha za hivi karibuni za kila anachokifanya jimboni kwake.

This slideshow requires JavaScript.

About Zanzibar Daima (1514 Articles)
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s