Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 20 Mei 2017

Sakata la kukamatwa kwa meya wa Arusha na wenziwe hapo majuzi walipokuwa kwenye utowaji mkono wa pole msibani, bajeti ya kilimo bungeni na siku ya mwisho ya ligi kuu ya Vodacom ndizo mada kubwa kwenye magazeti ya leo. 

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.