News Ticker

What am seeing? 

cof

I’m seeing the hope and optimism
Penye magugu yasiyo na nidhamu
Yaotayo kwa nguvu kwa kila msimu

I’m seeing the hope and optimism
Kwenye elimu isiyo na form
Itoayo wasomi walio mabomu

I’m seeing the hope and optimism
Kwenye ng’ombe wengi wasio na mijamu
Wangiao mijini wakitudhulumu

I’m seeing the hope and optimism
Kwenye kisungura kisichohitimu
Kinachowabeza mpaka walimu

I’m seeing hope and optimism
Palipo na majumba wakayo hakimu
Panakaa shombo mataka na damu

I’m seeing hope and optimism
Palipo na vijana walio hirimu
Kutwa twaona wamestakimu

I’m seeing the hope and optimism
Palipo na watu wenye majukumu
Na kufanya kitu hawapati hamu

I’m seeing the hope and optimism
Usipojulikana wako umuhimu
Na kwaku dhaniwa wanakuhukumu

I’m seeing the hope and optimism
Penye wachezaji walio na pumu
Watarajiwao kuibeba timu

I’m seeing the hope and optimism
Kwa kua jirani kapika karamu
Japo kaipata kwa njia haramu

Nimeshamaliza naweka kalamu
Nafanya kulia nikijilaumu
Yakinizidia nitakunywa  sumu

Mussa Shehe
23 Mei 2017
Zanzibar 

About Zanzibar Daima (1509 Articles)
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s