​Huu si wakati wa Afrika kuidekeza Israel

Published on :

“UMEKUJA kufanya nini huku?” aliniuliza kwa hasira Mpalestina wa makamo aliyekuwa dereva wa shirika moja la Umoja wa Mataifa mjini Jerusalem ya Mashariki. “Watu kama nyiye mkija huku ni tatizo,” aliongeza. Sikuwa na hila.  Azma yangu ilikuwa kulizuru eneo la Gaza mara baada ya eneo hilo kushambuliwa na majeshi ya […]

Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 29

Published on :

Miongoni mwa yaliyoangaziwa leo ni mauaji yanayoendelea Kibiti, kauli ya Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, juu ya hujuma za Mamlaka ya Urajisi Tanzania Bara (RITA) na kurudi tena kwa Edward Lowassa polisi hivi leo. Kwenye michezo, takribani kurasa zote zimetanda tukio la kukamatwa kwa kiongozi mkuu wa […]

Haji Omari Kheri

Ramadhani nyengine imepita, dhuluma dhidi ya Uamsho bado yaendelea

Published on :

Kwa hakika sijui ni kitu gani kilichokuwa kimenifanya niamini kuwa Ramadhani ya mwaka huu isingelimalizika kabla ya viongozi na wafuasi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu ya Zanzibar (Uamsho) wanaoshikiliwa kwa zaidi miaka minne sasa katika magareza ya Tanzania Bara, hawajaachiliwa huru! Ni jambo la kushangaza kuwa bila […]

Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 26

Published on :

Onyo la Edward Lowassa kutaka masheikh wa Uamsho wanaoshikiliwa kwa zaidi ya miaka minne sasa waachiliwe, hatua za serikali ya Rais John Magufuli kukabiliana na ufisadi kwa kushughulikia kesi za nyuma zikiwemo za Escrow, Rada na TITCS, na pia kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, kuzitishia NGOs […]

Kwa kweli siasa za Zanzibar ni ‘pasua kichwa’ 

Published on :

Leo ukienda visiwa vya Zanzibar utashuhudia maghorofa kuanzia Unguja mpaka Pemba, mijini mpaka mashakani, maghorofa hayo yote naambiwa yalijengwa na Hayati Mzee Abeid Karume! Mzee Karume alijenga maghorofa haya kati ya 12 Januari 1964 baada ya Mapinduzi na 7 Aprili 1972 pale alipokutwa na umauti baada ya kupigwa risasi akiwa […]

Lowassa asema sasa Uamsho imetosha, waachiliwe

Published on :

Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa, amemtaka Rais John Magufuli kuwaachia huru masheikh wa Uamsho wanaoshikiliwa kwa zaidi ya miaka minne sasa. Akizungumza katika futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Ukonga, Mhita Waitara, Lowassa amemuomba Rais Magufuli kuwaachia masheikh hao, huku akisema ni jambo […]