Mama asimulia siku za mwisho za mwanawe aliyepigwa na walimu

Mwanafunzi Saleh Abdullah Masoud mwenye umri wa miaka 11 amefariki dunia kisiwani Pemba, baada ya kupigwa na kuadhibiwa na walimu wake wa skuli ya Laurent International. Hapa mama yake anasimulia siku za mwisho za mwanawe. 

Mahojiano yamefanywa na Idhaa ya Kiswahili ya DW Ujerumani. 

About Zanzibar Daima 1700 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply