HABARI

CHADEMA yaapa kumuaga Ndesamburo ‘viwavyo naviwe’

Muda mchache baada ya kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuripotiwa kuzuia matayarisho ya kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa mbunge wa muda mrefu wa Moshi Mjini, Marehemu Mzee Phelomon Ndesamburo, katika viwanja vya hadhara kwa kisingizio cha kuwa kwake karibu na shule na mahakama, mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amesema kwamba shughuli za kumuaga kiongozi na muasisi huyo wa CHADEMA zitaendelea kama ilivyopangwa hapo Jumatatu. Angalia vidio hii.

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.